1 line
190 B
Plaintext
1 line
190 B
Plaintext
|
\v 8 Je waweza kusema kwa hakika kwamba mimi si mwenye haki? Je utanihukumu mimi ili useme wewe ni mwenye haki? \v 9 Je una mkono kama wa Mungu? Je waweza kutoa kishindo kwa sauti kama yeye?
|