Sun May 29 2022 16:46:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-29 16:46:35 +03:00
parent c04900a4d6
commit 9b7b8bf529
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 27 Ilikuwa ni kwa imani kwamba Musa alitoka Misri. Hakuhofia hasira ya Mfalme, kwa kuwa alivumilia kwa kutazama kwa asiyeonekana. \v 28 Ilikuwa ni kwa imani kwamba aliishika pasaka na kunyunyiza damu, ili kwamba mharibu wa mzaliwa wa kwanza asiweze kuwagusa wazaliwa wa kwanza wa kiume wa waisrael.
\v 27 Ilikuwa ni kwa imani Musa alitoka Misri. Hakuhofia hasira ya Mfalme, kwa kuwa alivumilia kwa kutazama kwa asiyeonekana. \v 28 Ilikuwa ni kwa imani aliishika pasaka na kunyunyiza damu, ili kwamba mharibu wa mzaliwa wa kwanza asiweze kuwagusa wazaliwa wa kwanza wa kiume wa waisrael.

View File

@ -1 +1 @@
\v 29 Ilikuwa ni kwa imani kwamba walipita katika bahari ya shamu kama katika nchi kavu. Wakati wamisri walipojaribu kupita, walimezwa. \v 30 Ilikuwa ni kwa imani kwamba ukuta wa Yeriko ulianguka chini, baada ya kuuzunguka kwa siku saba. \v 31 Ilikuwa ni kwa imani kwamba Rahabu yule kahaba hakuangamia pamoja na wale ambao hawakuwa watiifu, kwa sababu alikuwa amewapokea wapelelezi na kuwahifadhi salama.
\v 29 Ilikuwa ni kwa imani walipita katika bahari ya shamu kama katika nchi kavu. Wakati wamisri walipojaribu kupita, walimezwa. \v 30 Ilikuwa ni kwa imani ukuta wa Yeriko ulianguka chini, baada ya kuuzunguka kwa siku saba. \v 31 Ilikuwa ni kwa imani Rahabu yule kahaba hakuangamia pamoja na wale ambao hawakuwa watiifu, kwa sababu alikuwa amewapokea wapelelezi na kuwahifadhi salama.

View File

@ -101,6 +101,7 @@
"11-17",
"11-20",
"11-23",
"11-27",
"11-29",
"11-32",
"11-35",