Mon Jan 02 2023 12:14:59 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
48de0d4ea9
commit
b6d65ba7f4
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 27 \v 1 Musa na wazee wa Israeli waliwaamuru watu na kusema, “Zishikeni amri zote ninazowaamuru leo. \v 2 Katika siku mtakapopita juu ya Yordani kwenye nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapatia, mnapaswa kutengeneza mawe kiasi makubwa na kuyachapa kwa lipu. \v 3 Mnatakiwa kuyaandika juu yake maneno yote ya sheria hii pale mtakapovuka; ili muweze kwenda katika nchi ambayo Yahwe Mungu wako anawapatia, nchi inayotiririka kwa maziwa na asali, kama Yahwe, Mungu wa mababu zenu, alivyowaahidi.
|
||||
\c 27 \v 1 Musa na wazee wa Israeli waliwaamuru watu na kusema, “Zishikeni amri zote ninazowaamuru leo. \v 2 Katika siku mtakapopita juu ya Yordani kwenye nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapatia, mnapaswa kutengeneza mawe kiasi makubwa na kuyachapa kwa lipu. \v 3 Mnatakiwa kuyaandika juu yake maneno yote ya sheria hii pale mtakapovuka; ili muweze kwenda katika nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapatia, nchi inayotiririka kwa maziwa na asali, kama Yahwe, Mungu wa mababu zenu, alivyowaahidi.
|
Loading…
Reference in New Issue