sw_deu_text_reg/23/19.txt

1 line
363 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 19 Hutakiwi kumkopesha Muisraeli mwenzako kwa riba riba ya fedha, riba ya chakula, au riba ya kitu chochote kinachokopeshwa kwa riba. \v 20 Kwa mgeni unaweza kukopesha kwa riba; lakini kwa Muisraeli mwenzako haupaswi kukopesha kwa riba, ili kwamba Yahwe Mungu wako aweze kukubariki katika kila jambo uwekalo mkono wako, katika nchi ambayo mnaenda kumiliki.