1 line
333 B
Plaintext
1 line
333 B
Plaintext
\v 21 Mmefanya mambo haya, lakini nimekaa kimya, hivyo mlidhani kuwa ni mtu fulani aliye kama ninyi mlivyo. Lakini nitawakaripia ninyi na kuwafunua, mbele ya macho yenu, mambo yote mliyoyafanya. \v 22 Mlitilie maanani hili, ninyi mnao msahau Mungu, vinginevyo nitawakata ninyi vipande vipande, na hatakuwepo yeyote wakuja kuwasaidia! |