sw_psa_text_ulb/50/21.txt

1 line
333 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 21 Mmefanya mambo haya, lakini nimekaa kimya, hivyo mlidhani kuwa ni mtu fulani aliye kama ninyi mlivyo. Lakini nitawakaripia ninyi na kuwafunua, mbele ya macho yenu, mambo yote mliyoyafanya. \v 22 Mlitilie maanani hili, ninyi mnao msahau Mungu, vinginevyo nitawakata ninyi vipande vipande, na hatakuwepo yeyote wakuja kuwasaidia!