sw_psa_text_ulb/116/03.txt

1 line
169 B
Plaintext

\v 3 Kamba za mauti zilinizunguka, na mitego ya kuzimu ilinikabili; niliona dhiki na huzuni. \v 4 Kisha niliita kwa jina la Yahwe: "Tafadhali Yahwe, uiokoe nafsi yangu."