Wed May 10 2023 14:19:32 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
e4db926f9b
commit
e1a808178c
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 14 Wewe ulishambulia vichwa vya Lewiathani; na kumfanya awe chakula cha viumbe hai jangwani. \v 15 Ulizifungulia chemchem na vijito; uliikausha mito itiririkayo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 16 Mchana ni wako, na usiku ni wako pia; uliweka jua na mwezi mahali pake. \v 17 Umeiweka mipaka ya nchi; umeumba majira ya joto na majira ya baridi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 18 Kumbuka vile adui alivyo vurumisha matusi kwako, Yahwe, na kwamba watu wapumbavu wamelitukana jina lako. \v 19 Usimtoe njiwa afe kwa mnyama wa porini. Usiusahau milele uhai wa watu wako walioonewa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 20 Kumbuka agano lako, maana maeneo ya giza ya nchi yamejaa maeneo ya vurugu. \v 21 Usiwaache walioonewa warudishwe kwa aibu; uwaache maskini na walioonewa walisifu jina lako.
|
|
@ -456,6 +456,10 @@
|
|||
"74-07",
|
||||
"74-09",
|
||||
"74-12",
|
||||
"74-14",
|
||||
"74-16",
|
||||
"74-18",
|
||||
"74-20",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue