From e1a808178c9bc29adc98378d572ab24e79aba32d Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embracekenya Date: Wed, 10 May 2023 14:19:33 +0300 Subject: [PATCH] Wed May 10 2023 14:19:32 GMT+0300 (East Africa Time) --- 74/14.txt | 1 + 74/16.txt | 1 + 74/18.txt | 1 + 74/20.txt | 1 + manifest.json | 4 ++++ 5 files changed, 8 insertions(+) create mode 100644 74/14.txt create mode 100644 74/16.txt create mode 100644 74/18.txt create mode 100644 74/20.txt diff --git a/74/14.txt b/74/14.txt new file mode 100644 index 0000000..0992a35 --- /dev/null +++ b/74/14.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 14 Wewe ulishambulia vichwa vya Lewiathani; na kumfanya awe chakula cha viumbe hai jangwani. \v 15 Ulizifungulia chemchem na vijito; uliikausha mito itiririkayo. \ No newline at end of file diff --git a/74/16.txt b/74/16.txt new file mode 100644 index 0000000..2ee9c01 --- /dev/null +++ b/74/16.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 16 Mchana ni wako, na usiku ni wako pia; uliweka jua na mwezi mahali pake. \v 17 Umeiweka mipaka ya nchi; umeumba majira ya joto na majira ya baridi. \ No newline at end of file diff --git a/74/18.txt b/74/18.txt new file mode 100644 index 0000000..7473777 --- /dev/null +++ b/74/18.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 18 Kumbuka vile adui alivyo vurumisha matusi kwako, Yahwe, na kwamba watu wapumbavu wamelitukana jina lako. \v 19 Usimtoe njiwa afe kwa mnyama wa porini. Usiusahau milele uhai wa watu wako walioonewa. \ No newline at end of file diff --git a/74/20.txt b/74/20.txt new file mode 100644 index 0000000..71300ac --- /dev/null +++ b/74/20.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 20 Kumbuka agano lako, maana maeneo ya giza ya nchi yamejaa maeneo ya vurugu. \v 21 Usiwaache walioonewa warudishwe kwa aibu; uwaache maskini na walioonewa walisifu jina lako. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index b3b48d8..224f368 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -456,6 +456,10 @@ "74-07", "74-09", "74-12", + "74-14", + "74-16", + "74-18", + "74-20", "101-title", "101-01", "101-02",