Wed May 10 2023 09:22:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 09:22:13 +03:00
parent f98471048d
commit e0df7eeed3
7 changed files with 12 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Yahwe huwalinda wale wampendao, lakini atawaangamiza waovu wote.\v 21 Kinywa changu kitazinena sifa za Yahwe; wanadamu wote na walitukuze jina lake takatifu milele na milele.
\v 20 Yahwe huwalinda wale wampendao, lakini atawaangamiza waovu wote. \v 21 Kinywa changu kitazinena sifa za Yahwe; wanadamu wote na walitukuze jina lake takatifu milele na milele.

1
146/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 146 \v 1 Msifu Yahwe. Msifu Yahwe, ee nafsi yangu. \v 2 Ninamsifu Mungu maisha yangu yote; nitamimbia sifa Mungu wangu ni ngali hai.

1
146/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Msiweke imani katika wakuu au wanadamu, ambaye katika yeye hamna wokovu. \v 4 Wakati uhai wa pumzi ya mtu unapokoma, hurudi ardhini; siku hiyo mipango yake hufikia mwisho.

1
146/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Amebarikiwa yule ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, ambaye tumaini lake liko katika Yahwe Mungu wake. \v 6 Yahwe aliumba mbingu na nchi, bahari, na vyote vilivyomo; huitazama kweli milele.

1
146/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Yeye hutekeleza hukumu kwa ajili ya walioonewa na huwapa chakula wenye njaa. Yahwe huwafungua waliofungwa; \v 8 Yahwe huyafungua macho ya kipofu; Yahwe huwainua walioinama; Yahwe huwapenda watu wenye haki.

1
146/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 146

View File

@ -550,6 +550,11 @@
"145-10",
"145-13",
"145-14",
"145-17"
"145-17",
"145-20",
"146-title",
"146-01",
"146-03",
"146-05"
]
}