Wed May 10 2023 09:20:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 09:20:13 +03:00
parent 0a155637eb
commit f98471048d
6 changed files with 10 additions and 1 deletions

1
145/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Vyote ulivyo viumba vitakushukuru wewe, Yahwe; waaminifu wako watakutukuza wewe. \v 11 Waaminifu wako watanena juu ya utukufu wa ufalme wako, na watahubiri juu ya nguvu zako. \v 12 Watayafanya matendo makuu ya Mungu yajulikane na wanadamu na utukufu wa fahari ya ufalme wake.

1
145/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Ufalme wako ni wa milele, na mamlaka yako ya dumu kizazi hata kizazi.

1
145/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Yahwe huwategemeza wote waangukao na huwainua wote walioinama chini. \v 15 Macho ya wote yanakungoja wewe; nawe huwapa chakula chao kwa wakati sahihi. \v 16 Huufungua mkono wako na hukidhi haja ya kila kiumbe hai.

1
145/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Yahwe ni mwenye haki katika njia zake zote na neema katika yote afanyayo. \v 18 Yahwe yu karibu na wote wamwitao, wale wamwitao yeye katika uaminifu. \v 19 Hutimiza haja za wale wanao mheshimu yeye; husikia kilio chao na kuwaokoa.

1
145/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Yahwe huwalinda wale wampendao, lakini atawaangamiza waovu wote.\v 21 Kinywa changu kitazinena sifa za Yahwe; wanadamu wote na walitukuze jina lake takatifu milele na milele.

View File

@ -546,6 +546,10 @@
"145-01",
"145-04",
"145-06",
"145-08"
"145-08",
"145-10",
"145-13",
"145-14",
"145-17"
]
}