Fri May 12 2023 12:46:11 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
734ba1fd1e
commit
c7b086044d
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 103 Ni jinsi gani maneno yako ni matamu kwenye majaribu yangu, naam, matamu kuliko asali kinywani mwangu!\v 104 Kupitia maagizo yako ninapata utambuzi; kwa hiyo kila njia isiyo ya kweli.
|
||||
\v 103 Ni jinsi gani maneno yako ni matamu kwenye majaribu yangu, naam, matamu kuliko asali kinywani mwangu! \v 104 Kupitia maagizo yako ninapata utambuzi; kwa hiyo kila njia isiyo ya kweli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 105 Neno lako ni taa ya mguu miguu yangu na mwanga wa njia yangu. \v 106 Nimeapa na nimethibitisha, kuwa nitazitii amri za haki yako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 107 Nimeteswa sana; uniweke hai, Yahwe, kama ulivyoahidi katika neno lako. \v 108 Yahwe, tafadhali pokea dhabihu yangu ya hiari ya kinywa changu, na unifundishe amri zako za haki.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 109 Uhai wangu ziku zote uko mkononi mwangu, lakini bado sisahau sheria yako. \v 110 Waovu wamenitegea mtego, lakini sijapotea mbali na maagizo yako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 111 Nimezifanya amri za agano lako kama urithi wangu milele, maana hizo ni furaha ya moyo wangu. \v 112 Moyo wangu umewekwa kuzitii sheria zako milele mpaka mwisho kabisa.
|
|
@ -1104,6 +1104,11 @@
|
|||
"119-97",
|
||||
"119-99",
|
||||
"119-101",
|
||||
"119-103",
|
||||
"119-105",
|
||||
"119-107",
|
||||
"119-109",
|
||||
"119-111",
|
||||
"120-title",
|
||||
"120-01",
|
||||
"120-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue