Fri May 12 2023 12:44:11 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
860299f869
commit
734ba1fd1e
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 101 Nimeiepusha miguu yangu na kila njia ya uovu ili niweze kulitii neno lako. \v 102 Sijaenda kinyume na amri zako za haki, kwa maana wewe umenifundisha.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 103 Ni jinsi gani maneno yako ni matamu kwenye majaribu yangu, naam, matamu kuliko asali kinywani mwangu!\v 104 Kupitia maagizo yako ninapata utambuzi; kwa hiyo kila njia isiyo ya kweli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 95 Waovu hujiandaa kuniangamiza, lakini nitatafuta kuzielewa amri za agano lako. \v 96 Nimeona kuwa kila kitu kina mipaka, lakini amri zako ni pana, zaidi ya mipaka.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 97 Oh ni jinsi gani naipenda sheria yako! Ni tafakari yangu mchana kutwa. \v 98 Amri zako hunifanya mwenye hekima kuliko adui zangu, maana amri zako siku zote ziko pamoja nami.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 99 Ninauelewa zaidi kuliko walimu wangu wote, kwa maana ninazitafakari amri za agano lako. \v 100 Ninaelewa kuliko wale wanaonizidi umri; hii ni kwa sababu nimeyashika maagizo yako.
|
|
@ -1100,6 +1100,10 @@
|
|||
"119-89",
|
||||
"119-91",
|
||||
"119-93",
|
||||
"119-95",
|
||||
"119-97",
|
||||
"119-99",
|
||||
"119-101",
|
||||
"120-title",
|
||||
"120-01",
|
||||
"120-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue