From 734ba1fd1eb2f11a2fdc75bebb20321f87d41702 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embracekenya Date: Fri, 12 May 2023 12:44:11 +0300 Subject: [PATCH] Fri May 12 2023 12:44:11 GMT+0300 (East Africa Time) --- 119/101.txt | 1 + 119/103.txt | 1 + 119/95.txt | 1 + 119/97.txt | 1 + 119/99.txt | 1 + manifest.json | 4 ++++ 6 files changed, 9 insertions(+) create mode 100644 119/101.txt create mode 100644 119/103.txt create mode 100644 119/95.txt create mode 100644 119/97.txt create mode 100644 119/99.txt diff --git a/119/101.txt b/119/101.txt new file mode 100644 index 0000000..83a26c0 --- /dev/null +++ b/119/101.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 101 Nimeiepusha miguu yangu na kila njia ya uovu ili niweze kulitii neno lako. \v 102 Sijaenda kinyume na amri zako za haki, kwa maana wewe umenifundisha. \ No newline at end of file diff --git a/119/103.txt b/119/103.txt new file mode 100644 index 0000000..26b42c1 --- /dev/null +++ b/119/103.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 103 Ni jinsi gani maneno yako ni matamu kwenye majaribu yangu, naam, matamu kuliko asali kinywani mwangu!\v 104 Kupitia maagizo yako ninapata utambuzi; kwa hiyo kila njia isiyo ya kweli. \ No newline at end of file diff --git a/119/95.txt b/119/95.txt new file mode 100644 index 0000000..6498808 --- /dev/null +++ b/119/95.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 95 Waovu hujiandaa kuniangamiza, lakini nitatafuta kuzielewa amri za agano lako. \v 96 Nimeona kuwa kila kitu kina mipaka, lakini amri zako ni pana, zaidi ya mipaka. \ No newline at end of file diff --git a/119/97.txt b/119/97.txt new file mode 100644 index 0000000..d03fb79 --- /dev/null +++ b/119/97.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 97 Oh ni jinsi gani naipenda sheria yako! Ni tafakari yangu mchana kutwa. \v 98 Amri zako hunifanya mwenye hekima kuliko adui zangu, maana amri zako siku zote ziko pamoja nami. \ No newline at end of file diff --git a/119/99.txt b/119/99.txt new file mode 100644 index 0000000..ffe176e --- /dev/null +++ b/119/99.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 99 Ninauelewa zaidi kuliko walimu wangu wote, kwa maana ninazitafakari amri za agano lako. \v 100 Ninaelewa kuliko wale wanaonizidi umri; hii ni kwa sababu nimeyashika maagizo yako. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index b90d7e6..79e775d 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -1100,6 +1100,10 @@ "119-89", "119-91", "119-93", + "119-95", + "119-97", + "119-99", + "119-101", "120-title", "120-01", "120-03",