Fri May 12 2023 12:08:02 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-12 12:08:03 +03:00
parent acaff155ff
commit b34fec4276
5 changed files with 7 additions and 0 deletions

1
119/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Nitayatafakari maagizo yako na kuzitilia maanani njia zako. \v 16 Ninafurahia katika amri zako; sitalisahau neno lako. GIMEL.

1
119/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Uwe mwema kwa mtumishi wako ili niweze kuishi na kulishika neno lako. \v 18 Ufungue macho yangu ili niweze kuona mambo ya ajabu katika sheria yako.

1
119/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Mimi ni mgeni katika nchi; usizifiche amri zako mbali nami. \v 20 Moyo wangu unauma kwa kutamani sana kuzijua amri zako za haki wakati wote.

1
119/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Wewe huwakemea wenye kiburi, waliolaaniwa, wanao tanga-tanga mbali na amri zako. 22 Uniokoe dhidi ya aibu na udhalilishaji, maana nimezitii amri za agano lako.

View File

@ -1060,6 +1060,9 @@
"119-09",
"119-11",
"119-13",
"119-15",
"119-17",
"119-19",
"120-title",
"120-01",
"120-03",