From b34fec4276688c222ccb2965126df3c9aa50bd71 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embracekenya Date: Fri, 12 May 2023 12:08:03 +0300 Subject: [PATCH] Fri May 12 2023 12:08:02 GMT+0300 (East Africa Time) --- 119/15.txt | 1 + 119/17.txt | 1 + 119/19.txt | 1 + 119/21.txt | 1 + manifest.json | 3 +++ 5 files changed, 7 insertions(+) create mode 100644 119/15.txt create mode 100644 119/17.txt create mode 100644 119/19.txt create mode 100644 119/21.txt diff --git a/119/15.txt b/119/15.txt new file mode 100644 index 0000000..5682471 --- /dev/null +++ b/119/15.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 15 Nitayatafakari maagizo yako na kuzitilia maanani njia zako. \v 16 Ninafurahia katika amri zako; sitalisahau neno lako. GIMEL. \ No newline at end of file diff --git a/119/17.txt b/119/17.txt new file mode 100644 index 0000000..764bc4a --- /dev/null +++ b/119/17.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 17 Uwe mwema kwa mtumishi wako ili niweze kuishi na kulishika neno lako. \v 18 Ufungue macho yangu ili niweze kuona mambo ya ajabu katika sheria yako. \ No newline at end of file diff --git a/119/19.txt b/119/19.txt new file mode 100644 index 0000000..0be6654 --- /dev/null +++ b/119/19.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 19 Mimi ni mgeni katika nchi; usizifiche amri zako mbali nami. \v 20 Moyo wangu unauma kwa kutamani sana kuzijua amri zako za haki wakati wote. \ No newline at end of file diff --git a/119/21.txt b/119/21.txt new file mode 100644 index 0000000..ded91bc --- /dev/null +++ b/119/21.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 21 Wewe huwakemea wenye kiburi, waliolaaniwa, wanao tanga-tanga mbali na amri zako. 22 Uniokoe dhidi ya aibu na udhalilishaji, maana nimezitii amri za agano lako. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index b51f956..cc4ab60 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -1060,6 +1060,9 @@ "119-09", "119-11", "119-13", + "119-15", + "119-17", + "119-19", "120-title", "120-01", "120-03",