Thu May 11 2023 05:55:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-11 05:55:23 +03:00
parent fc12a16958
commit b011ff3bff
6 changed files with 10 additions and 0 deletions

1
31/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Uzuri wako ni wa namna gani nao umeuhifadhii kwa ajili ya wale wanao kuheshimu sana, ambao wewe huufanya kwa ajili ya wale ambao hukimbilia kwako kwa ajili ya usalama mbele ya watoto wote wa wanadamu! \v 20 Katika makao ya uwepo wako, wewe huwaficha mbali na njama za watu. Wewe huwaficha mahali salama na ndimi zenye vurugu.

1
31/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Atukuzwe Yahwe, kwa maana yeye alinionesha maajabu ya uaminifu wa agano lake mahali nilipoishi. \v 22 Ingawa kwa haraka zangu nilisema, "Nimeondolewa machoni pako," bali wewe ulisikia kusihi kwangu nilipokulilia wewe.

1
31/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Enyi wafuasi waaminifu, mpendeni Yahwe, Yahwe huwalinda waaminifu, lakini huwalipa wakaidi ipasavyo. \v 24 Iweni imara na jasiri, ninyi nyote mnao mwamini Mungu kuwasaidia.

1
32/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 32 \v 1 Zaburi ya Daudi. Zaburi. Amebarikiwa mtu yule aliyesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimesitiriwa. \v 2 Amebarikiwa mtu yule ambaye Yahwe hamuhesabii hatia na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.

1
32/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 32

View File

@ -269,6 +269,11 @@
"31-12",
"31-14",
"31-17",
"31-19",
"31-21",
"31-23",
"32-title",
"32-01",
"41-title",
"41-01",
"41-04",