From b011ff3bff884535c064392831072ef6d87a2d96 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embracekenya Date: Thu, 11 May 2023 05:55:23 +0300 Subject: [PATCH] Thu May 11 2023 05:55:22 GMT+0300 (East Africa Time) --- 31/19.txt | 1 + 31/21.txt | 1 + 31/23.txt | 1 + 32/01.txt | 1 + 32/title.txt | 1 + manifest.json | 5 +++++ 6 files changed, 10 insertions(+) create mode 100644 31/19.txt create mode 100644 31/21.txt create mode 100644 31/23.txt create mode 100644 32/01.txt create mode 100644 32/title.txt diff --git a/31/19.txt b/31/19.txt new file mode 100644 index 0000000..7495a96 --- /dev/null +++ b/31/19.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 19 Uzuri wako ni wa namna gani nao umeuhifadhii kwa ajili ya wale wanao kuheshimu sana, ambao wewe huufanya kwa ajili ya wale ambao hukimbilia kwako kwa ajili ya usalama mbele ya watoto wote wa wanadamu! \v 20 Katika makao ya uwepo wako, wewe huwaficha mbali na njama za watu. Wewe huwaficha mahali salama na ndimi zenye vurugu. \ No newline at end of file diff --git a/31/21.txt b/31/21.txt new file mode 100644 index 0000000..7fe3b6e --- /dev/null +++ b/31/21.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 21 Atukuzwe Yahwe, kwa maana yeye alinionesha maajabu ya uaminifu wa agano lake mahali nilipoishi. \v 22 Ingawa kwa haraka zangu nilisema, "Nimeondolewa machoni pako," bali wewe ulisikia kusihi kwangu nilipokulilia wewe. \ No newline at end of file diff --git a/31/23.txt b/31/23.txt new file mode 100644 index 0000000..6451f9f --- /dev/null +++ b/31/23.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 23 Enyi wafuasi waaminifu, mpendeni Yahwe, Yahwe huwalinda waaminifu, lakini huwalipa wakaidi ipasavyo. \v 24 Iweni imara na jasiri, ninyi nyote mnao mwamini Mungu kuwasaidia. \ No newline at end of file diff --git a/32/01.txt b/32/01.txt new file mode 100644 index 0000000..4b1e795 --- /dev/null +++ b/32/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 32 \v 1 Zaburi ya Daudi. Zaburi. Amebarikiwa mtu yule aliyesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimesitiriwa. \v 2 Amebarikiwa mtu yule ambaye Yahwe hamuhesabii hatia na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu. \ No newline at end of file diff --git a/32/title.txt b/32/title.txt new file mode 100644 index 0000000..7e1854d --- /dev/null +++ b/32/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 32 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index e3009b8..aeb62f5 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -269,6 +269,11 @@ "31-12", "31-14", "31-17", + "31-19", + "31-21", + "31-23", + "32-title", + "32-01", "41-title", "41-01", "41-04",