Fri May 12 2023 12:06:02 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
d5857cc964
commit
acaff155ff
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Oh, ningependa njia zangu ziwe thabiti nizitii amri zako! \v 6 Ndipo sitaaibika nizifikiripo amri zako zote.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Nitakushukuru wewe kwa unyofu wangu wa moyo nijifunzapo amri za haki yako. \v 8 Nitazitii amri zako; usiniache peke yangu. BETH.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Ni jinsi gani kijana aweza kuendelea kuishi katika njia yake ya utakatifu? Ni kwa kulitii neno lako. \v 10 Kwa moyo wangu wote ninakutafuta wewe; Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 Moyoni mwangu nimeliweka neno lako ili nisije nikakutenda dhambi. \v 12 Umetukuka, Yahwe; unifundishe amri zako.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 13 Kwa kinywa changu nimetangaza amri ya haki yako yote ambayo umeifunua. \v 14 Ninafurahi katika njia ya amri za agano lako zaidi kuliko katika utajiri.
|
|
@ -1055,6 +1055,11 @@
|
|||
"119-title",
|
||||
"119-01",
|
||||
"119-03",
|
||||
"119-05",
|
||||
"119-07",
|
||||
"119-09",
|
||||
"119-11",
|
||||
"119-13",
|
||||
"120-title",
|
||||
"120-01",
|
||||
"120-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue