diff --git a/119/05.txt b/119/05.txt new file mode 100644 index 0000000..46d186b --- /dev/null +++ b/119/05.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 5 Oh, ningependa njia zangu ziwe thabiti nizitii amri zako! \v 6 Ndipo sitaaibika nizifikiripo amri zako zote. \ No newline at end of file diff --git a/119/07.txt b/119/07.txt new file mode 100644 index 0000000..471565f --- /dev/null +++ b/119/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 Nitakushukuru wewe kwa unyofu wangu wa moyo nijifunzapo amri za haki yako. \v 8 Nitazitii amri zako; usiniache peke yangu. BETH. \ No newline at end of file diff --git a/119/09.txt b/119/09.txt new file mode 100644 index 0000000..1c236e8 --- /dev/null +++ b/119/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 Ni jinsi gani kijana aweza kuendelea kuishi katika njia yake ya utakatifu? Ni kwa kulitii neno lako. \v 10 Kwa moyo wangu wote ninakutafuta wewe; Usiniache nipotee mbali na maagizo yako. \ No newline at end of file diff --git a/119/11.txt b/119/11.txt new file mode 100644 index 0000000..feea23e --- /dev/null +++ b/119/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 Moyoni mwangu nimeliweka neno lako ili nisije nikakutenda dhambi. \v 12 Umetukuka, Yahwe; unifundishe amri zako. \ No newline at end of file diff --git a/119/13.txt b/119/13.txt new file mode 100644 index 0000000..51db9bf --- /dev/null +++ b/119/13.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 13 Kwa kinywa changu nimetangaza amri ya haki yako yote ambayo umeifunua. \v 14 Ninafurahi katika njia ya amri za agano lako zaidi kuliko katika utajiri. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 1eb6235..b51f956 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -1055,6 +1055,11 @@ "119-title", "119-01", "119-03", + "119-05", + "119-07", + "119-09", + "119-11", + "119-13", "120-title", "120-01", "120-03",