Wed May 10 2023 10:11:47 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
7683e1efc5
commit
a328fad82d
|
@ -1 +1 @@
|
|||
5 Katika ukimya nina msubiri Mungu pekee; kwa maana tumaini langu liko kwake. 6 Yeye pekee ni mwamba wangu na wokovu wangu; yeye ni mnara wangu mrefu; sitasongezwa.
|
||||
\v 5 Katika ukimya nina msubiri Mungu pekee; kwa maana tumaini langu liko kwake. \v 6 Yeye pekee ni mwamba wangu na wokovu wangu; yeye ni mnara wangu mrefu; sitasongezwa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Na Mungu ni wokovu wangu na utukufu wangu; mwamba wa nguvu yangu na kimbilio langu salama liko katika Mungu. \v 8 Mwaminini Mungu wakati wote, ninyi watu; mimi na moyo wako mbele zake; Mungu ni kimbilio salama kwa ajili yetu. Selah
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Hakika watu wenye msimamo mdogo ni ubatili, na watu wenye msimamo mkubwa ni waongo; wao watakuwa wepesi kwenye mzani; uzito wao pamoja ni wepesi kuliko kitu chochote. \v 10 Usiamini katika ukandamizaji au wizi; usitumainie utajiri, maana hawatazaa matunda; usiuweke moyo wako kwenye hivyo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 Mungu ameongea mara moja, mara mbili nimesikia hili: nguvu ni za Mungu. \v 12 Pia kwako, Bwana, ni uaminifu wa agano, maana humlipa kila mtu kwa kile alichokifanya.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 63
|
|
@ -340,6 +340,11 @@
|
|||
"62-title",
|
||||
"62-01",
|
||||
"62-03",
|
||||
"62-05",
|
||||
"62-07",
|
||||
"62-09",
|
||||
"62-11",
|
||||
"63-title",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue