Wed May 10 2023 10:09:47 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
8165afd630
commit
7683e1efc5
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 6 Wewe utaongeza maisha ya mfalme; miaka yake itakuwa kama vizazi vingi.\v 7 Yeye atabakia mbele ya Mungu milele. 8 Nitaliimbia sifa jina lako milele ili kwamba niweze kufanya viapo vyangu kila siku.
|
||||
\v 6 Wewe utaongeza maisha ya mfalme; miaka yake itakuwa kama vizazi vingi. \v 7 Yeye atabakia mbele ya Mungu milele.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 Nitaliimbia sifa jina lako milele ili kwamba niweze kufanya viapo vyangu kila siku.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 62 \v 1 Kwa ukimya ninamsubiri Mungu pekee; wokovu wangu watoka kwake. \v 2 Yeye pekee ni mwamba wangu na wokovu wangu; yeye ni mnara wangu mrefu; sitasongezwa kamwe.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Mpaka lini, ninyi nyote, mtamshambulia mtu, ili kwamba mmpindue yeye kama ukuta ulioinama au kama ua usio imara? \v 4 Wanashauriana naye ili tu kumshusha chini kutoka kwenye nafasi yake ya heshima; wao wanapenda kuongea uongo; wanambariki yeye kwa midomo yao, lakini mioyoni mwao wana mlaani yeye. Selah
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
5 Katika ukimya nina msubiri Mungu pekee; kwa maana tumaini langu liko kwake. 6 Yeye pekee ni mwamba wangu na wokovu wangu; yeye ni mnara wangu mrefu; sitasongezwa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 62
|
|
@ -335,6 +335,11 @@
|
|||
"61-title",
|
||||
"61-01",
|
||||
"61-04",
|
||||
"61-06",
|
||||
"61-08",
|
||||
"62-title",
|
||||
"62-01",
|
||||
"62-03",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue