Wed May 10 2023 10:07:47 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
ed7726cbbb
commit
8165afd630
1
61/01.txt
Normal file
1
61/01.txt
Normal file
@ -0,0 +1 @@
|
||||
\c 61 \v 1 Sikia kulia kwangu, shughulikia maombi yangu. \v 2 Kutokea mwisho wa nchi nitakuita wewe wakati moyo wangu umeelemewa; uniongoze kwenye mwamba ulio juu kuliko mimi. \v 3 Maana wewe umekuwa kimbilio langu la usalama, nguzo imara dhidi ya adui.
|
1
61/04.txt
Normal file
1
61/04.txt
Normal file
@ -0,0 +1 @@
|
||||
\v 4 Uniache niishi hemani mwako milele! Nipate kimbilio salama chini ya makazi ya mbawa zako. Selah \v 5 Kwa kuwa wewe, Mungu, umesikia viapo vyangu, wewe umenipa mimi urithi wa wale wanao liheshimu jina lako.
|
1
61/06.txt
Normal file
1
61/06.txt
Normal file
@ -0,0 +1 @@
|
||||
\v 6 Wewe utaongeza maisha ya mfalme; miaka yake itakuwa kama vizazi vingi.\v 7 Yeye atabakia mbele ya Mungu milele. 8 Nitaliimbia sifa jina lako milele ili kwamba niweze kufanya viapo vyangu kila siku.
|
@ -333,6 +333,8 @@
|
||||
"60-08",
|
||||
"60-10",
|
||||
"61-title",
|
||||
"61-01",
|
||||
"61-04",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
Loading…
x
Reference in New Issue
Block a user