Fri Apr 28 2023 17:37:39 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
1bb6137646
commit
99761f4bd0
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Nyosha mkono wako toka juu; uniokoe kutoka katika maji mengi, na kutoka katika mkono wa wageni. \v 8 vinywa vyao hunena uongo, na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Nitakuimbia wimbo mpya, Mungu; kwa kinanda cha nyuzi kumi nitakuimbia sifa wewe, \v 10 Uwapaye wafalme wokovu, uliyemuokoa Daudi mtumishi wako dhidi ya upanga wa uovu. \v 11 Uniokoe na unitoe mkononi mwa wageni. Midomo yao huongea uongo, na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 12 Wana wetu na wawe kama mimea ikuayo kwa ukubwa timilifu katika ujana wao na binti zetu kama nguzo za pembeni, zilizonakishiwa kwa kupamba jumba la kifahari. \v 13 Ghala zetu na zijae akiba ya kila aina ya mazao, na kondoo wetu wazae elfu na makumi elfu mashambani mwetu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 14 Kisha ng'ombe wetu watakuwa na ndama wengi. Hakuna atakayevunja kuta zetu; hakutakuwa na uhamisho wala kilio mitaani mwetu. \v 15 Wamebarikiwa watu wenye baraka hizo; furaha ina watu ambao Mungu wao ni Yahwe.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 145
|
|
@ -327,6 +327,10 @@
|
|||
"144-title",
|
||||
"144-01",
|
||||
"144-03",
|
||||
"144-05"
|
||||
"144-05",
|
||||
"144-07",
|
||||
"144-09",
|
||||
"144-12",
|
||||
"144-14"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue