diff --git a/144/07.txt b/144/07.txt new file mode 100644 index 0000000..9b15705 --- /dev/null +++ b/144/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 Nyosha mkono wako toka juu; uniokoe kutoka katika maji mengi, na kutoka katika mkono wa wageni. \v 8 vinywa vyao hunena uongo, na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo. \ No newline at end of file diff --git a/144/09.txt b/144/09.txt new file mode 100644 index 0000000..f758ded --- /dev/null +++ b/144/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 Nitakuimbia wimbo mpya, Mungu; kwa kinanda cha nyuzi kumi nitakuimbia sifa wewe, \v 10 Uwapaye wafalme wokovu, uliyemuokoa Daudi mtumishi wako dhidi ya upanga wa uovu. \v 11 Uniokoe na unitoe mkononi mwa wageni. Midomo yao huongea uongo, na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo. \ No newline at end of file diff --git a/144/12.txt b/144/12.txt new file mode 100644 index 0000000..8daba51 --- /dev/null +++ b/144/12.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 12 Wana wetu na wawe kama mimea ikuayo kwa ukubwa timilifu katika ujana wao na binti zetu kama nguzo za pembeni, zilizonakishiwa kwa kupamba jumba la kifahari. \v 13 Ghala zetu na zijae akiba ya kila aina ya mazao, na kondoo wetu wazae elfu na makumi elfu mashambani mwetu. \ No newline at end of file diff --git a/144/14.txt b/144/14.txt new file mode 100644 index 0000000..3e56e3a --- /dev/null +++ b/144/14.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 14 Kisha ng'ombe wetu watakuwa na ndama wengi. Hakuna atakayevunja kuta zetu; hakutakuwa na uhamisho wala kilio mitaani mwetu. \v 15 Wamebarikiwa watu wenye baraka hizo; furaha ina watu ambao Mungu wao ni Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/145/title.txt b/145/title.txt new file mode 100644 index 0000000..9a16636 --- /dev/null +++ b/145/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 145 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index d70d9f2..3b26736 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -327,6 +327,10 @@ "144-title", "144-01", "144-03", - "144-05" + "144-05", + "144-07", + "144-09", + "144-12", + "144-14" ] } \ No newline at end of file