Fri Apr 28 2023 17:57:39 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 17:57:40 +03:00
parent 4cc88156f7
commit 8fa5f06fd0
6 changed files with 10 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Hutupa mvua ya mawe kama makombo, ni nani awezaye kuhimili baridi aitumayo? 18 Hutuma amri zake na kuziyeyusha, huvumisha upepo wake na hutiririsha maji. 19 Hutangaza neno lake kwa Yakobo, amri zake na hukumu zake kwa Israeli. 20 Hajafanya hivyo kwa taifa linginelo lolote, na kama ilivyo amri zake, hawazijui. Msifuni Yahwe.
\v 17 Hutupa mvua ya mawe kama makombo, ni nani awezaye kuhimili baridi aitumayo? \v 18 Hutuma amri zake na kuziyeyusha, huvumisha upepo wake na hutiririsha maji.

1
147/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Hutangaza neno lake kwa Yakobo, amri zake na hukumu zake kwa Israeli. \v 20 Hajafanya hivyo kwa taifa linginelo lolote, na kama ilivyo amri zake, hawazijui. Msifuni Yahwe.

1
148/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 148 \v 1 Msifuni Yahwe. Msifuni Yahwe, ninyi mlio katika mbingu; msifuni yeye, ninyi mlio juu. \v 2 Msifuni yeye, enyi malaika wake wote; msifuni yeye, majeshi ya malaika wake wote.

1
148/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
3 Msifuni yeye, enyi jua na mwezi; msifuni yeye, nyota zote zing'aazo. 4 Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu zaidi na maji yaliyo juu ya anga. 5 Na vilisifu jina la Yahwe, maana aliamuru, navyo vikaumbwa. 6 Pia ameviimrisha milele na milele; naye alitoa amri ambayo haitabadilika. 7 Msifuni yeye kutoka nchi, ninyi viumbe wa baharini na viumbe vyote katika kina cha bahari, 8 Moto na mvua ya mawe, theluji na mawingu, upepo wa dhoruba ukitimiza neno lake. 9 Msifuni yeye, enyi milima na vilima, miti ya matunda na mierezi yote, 10 Wanyama pori na wanyama wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege. 11 Msifuni Yahwe, wafalme wa nchi na mataifa yote, wakuu na watawala wote wa nchi, 12 Wote vijana wa kiume na vijana wa kike, wazee na watoto. 13 Na walisifu jina la Yahwe, kwa kuwa jina lake pekee limetukuka na utukufu wake umeongezwa juu ya nchi na mbingu. 14 Naye ameyainua mapembe ya watu wake kwa ajili ya sifa kutoka kwa waaminifu wake wote, Waisraeli, watu wa karibu na moyo wake. Msifuni Yahwe.

1
148/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 148

View File

@ -356,6 +356,10 @@
"147-08",
"147-10",
"147-12",
"147-15"
"147-15",
"147-17",
"147-19",
"148-title",
"148-01"
]
}