diff --git a/147/17.txt b/147/17.txt index cad3173..e576af9 100644 --- a/147/17.txt +++ b/147/17.txt @@ -1 +1 @@ -\v 17 Hutupa mvua ya mawe kama makombo, ni nani awezaye kuhimili baridi aitumayo? 18 Hutuma amri zake na kuziyeyusha, huvumisha upepo wake na hutiririsha maji. 19 Hutangaza neno lake kwa Yakobo, amri zake na hukumu zake kwa Israeli. 20 Hajafanya hivyo kwa taifa linginelo lolote, na kama ilivyo amri zake, hawazijui. Msifuni Yahwe. \ No newline at end of file +\v 17 Hutupa mvua ya mawe kama makombo, ni nani awezaye kuhimili baridi aitumayo? \v 18 Hutuma amri zake na kuziyeyusha, huvumisha upepo wake na hutiririsha maji. \ No newline at end of file diff --git a/147/19.txt b/147/19.txt new file mode 100644 index 0000000..0111ffa --- /dev/null +++ b/147/19.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 19 Hutangaza neno lake kwa Yakobo, amri zake na hukumu zake kwa Israeli. \v 20 Hajafanya hivyo kwa taifa linginelo lolote, na kama ilivyo amri zake, hawazijui. Msifuni Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/148/01.txt b/148/01.txt new file mode 100644 index 0000000..08234e0 --- /dev/null +++ b/148/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 148 \v 1 Msifuni Yahwe. Msifuni Yahwe, ninyi mlio katika mbingu; msifuni yeye, ninyi mlio juu. \v 2 Msifuni yeye, enyi malaika wake wote; msifuni yeye, majeshi ya malaika wake wote. \ No newline at end of file diff --git a/148/03.txt b/148/03.txt new file mode 100644 index 0000000..6d1269b --- /dev/null +++ b/148/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +3 Msifuni yeye, enyi jua na mwezi; msifuni yeye, nyota zote zing'aazo. 4 Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu zaidi na maji yaliyo juu ya anga. 5 Na vilisifu jina la Yahwe, maana aliamuru, navyo vikaumbwa. 6 Pia ameviimrisha milele na milele; naye alitoa amri ambayo haitabadilika. 7 Msifuni yeye kutoka nchi, ninyi viumbe wa baharini na viumbe vyote katika kina cha bahari, 8 Moto na mvua ya mawe, theluji na mawingu, upepo wa dhoruba ukitimiza neno lake. 9 Msifuni yeye, enyi milima na vilima, miti ya matunda na mierezi yote, 10 Wanyama pori na wanyama wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege. 11 Msifuni Yahwe, wafalme wa nchi na mataifa yote, wakuu na watawala wote wa nchi, 12 Wote vijana wa kiume na vijana wa kike, wazee na watoto. 13 Na walisifu jina la Yahwe, kwa kuwa jina lake pekee limetukuka na utukufu wake umeongezwa juu ya nchi na mbingu. 14 Naye ameyainua mapembe ya watu wake kwa ajili ya sifa kutoka kwa waaminifu wake wote, Waisraeli, watu wa karibu na moyo wake. Msifuni Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/148/title.txt b/148/title.txt new file mode 100644 index 0000000..59a0b4d --- /dev/null +++ b/148/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 148 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index acb0eb1..c50c9c1 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -356,6 +356,10 @@ "147-08", "147-10", "147-12", - "147-15" + "147-15", + "147-17", + "147-19", + "148-title", + "148-01" ] } \ No newline at end of file