Fri Apr 28 2023 16:55:34 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
6414b9d80b
commit
8e6fade17a
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 108 Wimbo, Zaburi ya Daudi. \v 1 Ee Mungu, moyo wangu u thabiti; nitaimba, naam, nitaimba sifa pia kwa moyo mkuu. \v 2 Amka, kinanda na kinubi; nitaamka alfajiri. 3 Nitakushukuru wewe, Yahwe, kati ya watu; nitakuimbia sifa kati ya mataifa. 4 Kwa maana uaminifu wa agano lako ni mkuu juu ya mbingu; na uaminifu wako wafika mawinguni. 5 Ee Mungu, uinuliwe, juu ya mbingu, na utukufu wako utukuke juu ya nchi. 6 Ili kwamba wale uwapendao waokolewe, utuokoe sisi kwa mkono wako wa kuume na unijibu. 7 Mungu ameongea katika utakatifu wake; "Nitashangilia; nitaigawanya Shekemu na nitalipima bonde la Sukothi. 8 Gileadi ni yangu, na manase ni yangu; Ephraimu ni nguvu ya kichwa changu; Yuda ni fimbo yangu ya kifalme. 9 Moabu ni bakuli langu la kunawia; nitatupa kiatu changu juu ya Edomu; nitapaza sauti katika ushindi kwa ajili ya Filisti. 10 Ni nani atakaye nipeleka kwenye mji imara? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu?" 11 Ee Mungu, sio wewe uliyetukataa? Hauendi vitani na jeshi letu. 12 Utupe msaada dhidi ya adui yetu, maana msaada wa wanadamu ni bure. 13 Tutashinda kwa msaada wa Mungu; atawakanyaga kwa adui zetu.
|
||||
\c 108 Wimbo, Zaburi ya Daudi. \v 1 Ee Mungu, moyo wangu u thabiti; nitaimba, naam, nitaimba sifa pia kwa moyo mkuu. \v 2 Amka, kinanda na kinubi; nitaamka alfajiri.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Nitakushukuru wewe, Yahwe, kati ya watu; nitakuimbia sifa kati ya mataifa. \v 4 Kwa maana uaminifu wa agano lako ni mkuu juu ya mbingu; na uaminifu wako wafika mawinguni.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Ee Mungu, uinuliwe, juu ya mbingu, na utukufu wako utukuke juu ya nchi. \v 6 Ili kwamba wale uwapendao waokolewe, utuokoe sisi kwa mkono wako wa kuume na unijibu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Mungu ameongea katika utakatifu wake; "Nitashangilia; nitaigawanya Shekemu na nitalipima bonde la Sukothi. \v 8 Gileadi ni yangu, na manase ni yangu; Ephraimu ni nguvu ya kichwa changu; Yuda ni fimbo yangu ya kifalme.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Moabu ni bakuli langu la kunawia; nitatupa kiatu changu juu ya Edomu; nitapaza sauti katika ushindi kwa ajili ya Filisti. \v 10 Ni nani atakaye nipeleka kwenye mji imara? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu?"
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 Ee Mungu, sio wewe uliyetukataa? Hauendi vitani na jeshi letu. \v 12 Utupe msaada dhidi ya adui yetu, maana msaada wa wanadamu ni bure. \v 13 Tutashinda kwa msaada wa Mungu; atawakanyaga kwa adui zetu.
|
|
@ -120,6 +120,9 @@
|
|||
"106-47",
|
||||
"107-title",
|
||||
"108-title",
|
||||
"108-07",
|
||||
"108-09",
|
||||
"108-11",
|
||||
"109-title",
|
||||
"109-01",
|
||||
"109-04",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue