From 8e6fade17a0f7ec80213add0ff1ce41224f45bfe Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Fri, 28 Apr 2023 16:55:35 +0300 Subject: [PATCH] Fri Apr 28 2023 16:55:34 GMT+0300 (East Africa Time) --- 108/01.txt | 2 +- 108/03.txt | 1 + 108/05.txt | 1 + 108/07.txt | 1 + 108/09.txt | 1 + 108/11.txt | 1 + manifest.json | 3 +++ 7 files changed, 9 insertions(+), 1 deletion(-) create mode 100644 108/03.txt create mode 100644 108/05.txt create mode 100644 108/07.txt create mode 100644 108/09.txt create mode 100644 108/11.txt diff --git a/108/01.txt b/108/01.txt index 33a187a..c3a6e74 100644 --- a/108/01.txt +++ b/108/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 108 Wimbo, Zaburi ya Daudi. \v 1 Ee Mungu, moyo wangu u thabiti; nitaimba, naam, nitaimba sifa pia kwa moyo mkuu. \v 2 Amka, kinanda na kinubi; nitaamka alfajiri. 3 Nitakushukuru wewe, Yahwe, kati ya watu; nitakuimbia sifa kati ya mataifa. 4 Kwa maana uaminifu wa agano lako ni mkuu juu ya mbingu; na uaminifu wako wafika mawinguni. 5 Ee Mungu, uinuliwe, juu ya mbingu, na utukufu wako utukuke juu ya nchi. 6 Ili kwamba wale uwapendao waokolewe, utuokoe sisi kwa mkono wako wa kuume na unijibu. 7 Mungu ameongea katika utakatifu wake; "Nitashangilia; nitaigawanya Shekemu na nitalipima bonde la Sukothi. 8 Gileadi ni yangu, na manase ni yangu; Ephraimu ni nguvu ya kichwa changu; Yuda ni fimbo yangu ya kifalme. 9 Moabu ni bakuli langu la kunawia; nitatupa kiatu changu juu ya Edomu; nitapaza sauti katika ushindi kwa ajili ya Filisti. 10 Ni nani atakaye nipeleka kwenye mji imara? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu?" 11 Ee Mungu, sio wewe uliyetukataa? Hauendi vitani na jeshi letu. 12 Utupe msaada dhidi ya adui yetu, maana msaada wa wanadamu ni bure. 13 Tutashinda kwa msaada wa Mungu; atawakanyaga kwa adui zetu. \ No newline at end of file +\c 108 Wimbo, Zaburi ya Daudi. \v 1 Ee Mungu, moyo wangu u thabiti; nitaimba, naam, nitaimba sifa pia kwa moyo mkuu. \v 2 Amka, kinanda na kinubi; nitaamka alfajiri. \ No newline at end of file diff --git a/108/03.txt b/108/03.txt new file mode 100644 index 0000000..e897085 --- /dev/null +++ b/108/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Nitakushukuru wewe, Yahwe, kati ya watu; nitakuimbia sifa kati ya mataifa. \v 4 Kwa maana uaminifu wa agano lako ni mkuu juu ya mbingu; na uaminifu wako wafika mawinguni. \ No newline at end of file diff --git a/108/05.txt b/108/05.txt new file mode 100644 index 0000000..62eb2ce --- /dev/null +++ b/108/05.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 5 Ee Mungu, uinuliwe, juu ya mbingu, na utukufu wako utukuke juu ya nchi. \v 6 Ili kwamba wale uwapendao waokolewe, utuokoe sisi kwa mkono wako wa kuume na unijibu. \ No newline at end of file diff --git a/108/07.txt b/108/07.txt new file mode 100644 index 0000000..383518f --- /dev/null +++ b/108/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 Mungu ameongea katika utakatifu wake; "Nitashangilia; nitaigawanya Shekemu na nitalipima bonde la Sukothi. \v 8 Gileadi ni yangu, na manase ni yangu; Ephraimu ni nguvu ya kichwa changu; Yuda ni fimbo yangu ya kifalme. \ No newline at end of file diff --git a/108/09.txt b/108/09.txt new file mode 100644 index 0000000..94f1751 --- /dev/null +++ b/108/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 Moabu ni bakuli langu la kunawia; nitatupa kiatu changu juu ya Edomu; nitapaza sauti katika ushindi kwa ajili ya Filisti. \v 10 Ni nani atakaye nipeleka kwenye mji imara? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu?" \ No newline at end of file diff --git a/108/11.txt b/108/11.txt new file mode 100644 index 0000000..d80fa5d --- /dev/null +++ b/108/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 Ee Mungu, sio wewe uliyetukataa? Hauendi vitani na jeshi letu. \v 12 Utupe msaada dhidi ya adui yetu, maana msaada wa wanadamu ni bure. \v 13 Tutashinda kwa msaada wa Mungu; atawakanyaga kwa adui zetu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 40f0cef..d0cb9af 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -120,6 +120,9 @@ "106-47", "107-title", "108-title", + "108-07", + "108-09", + "108-11", "109-title", "109-01", "109-04",