Fri Apr 28 2023 13:59:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 13:59:10 +03:00
parent 2f1c50de97
commit 71a71fc56b
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
13 Lakini walisahau haraka kile alichofanya; hawakuyasubiri maelekezo yake. 14 Walikuwa na tamaa isiyotoshelezwa jangwani, wakamjaribu Mungu nyikani. 15 Aliwapa ombi lao, lakini alituma gonjwa ambalo lilishambulia miili yao. 16 Katika kambi wakawa na wivu juu Musa na Haruni, kuhani mtakatifu wa Yahwe. 17 Nchi ilifunguka na ilimmeza Dathani na iliwafunika wafuasi wa Abiramu. 18 Moto uliwaka kati yao; moto uliwaangamiza waovu. 19 Walitengeneza ndama huko Horebu na kuabudu sanamu ya kuyeyuka. 20 Wakaubadili utukufu wa Mungu kuwa mfano wa ng'ombe alaye majani. 21 Walimsahau Mungu wokozi wao, aliyefanya mambo makuu katika Misri. 22 Alifanya matendo ya ajabu katika nchi ya Hamu na matendo makuu penye Bahari ya Shamu. 23 Mungu angetangaza uharibifu wao, kama sio Musa, mteule wake, aliingilia kati kugeuza hasira yake dhidi ya kuwaangamiza. 24 Kisha waliidharau nchi yenye matunda; hawakuiamini ahadi yake, 25 bali walilalamiaka katika mahema yao, na hawakumtii Yahwe. 26 Kwa hiyo aliinua mkono wake na kuapa kwao kuwa atawaacha wafe jangwani, 27 akitawanya uzao wao kati ya mataifa, na kuwatawanya katika nchi za kigeni. 28 Waliabudu Baal ya Poeri na walizila dhabihu zilizotolewa kwa wafu. 29 Walimkasirisha kwa matendo yao, na pigo la gonjwa baya liliwashambulia kati yao. 30 Ndipo Finehasi aliinuka kuingilia kati, na pigo likakoma. 31 Ilihesabika kwake kama tendo la haki kwa vizazi vyote hata milele. 32 Pia walimkasirisha Yahwe penye maji ya Meriba, na Musa aliteseka kwa ajili yao. \v 13 Lakini walisahau haraka kile alichofanya; hawakuyasubiri maelekezo yake. \v 14 Walikuwa na tamaa isiyotoshelezwa jangwani, wakamjaribu Mungu nyikani. \v 15 Aliwapa ombi lao, lakini alituma gonjwa ambalo lilishambulia miili yao.

1
106/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Katika kambi wakawa na wivu juu Musa na Haruni, kuhani mtakatifu wa Yahwe. \v 17 Nchi ilifunguka na ilimmeza Dathani na iliwafunika wafuasi wa Abiramu. \v 18 Moto uliwaka kati yao; moto uliwaangamiza waovu.

1
106/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Walitengeneza ndama huko Horebu na kuabudu sanamu ya kuyeyuka. \v 20 Wakaubadili utukufu wa Mungu kuwa mfano wa ng'ombe alaye majani. \v 21 Walimsahau Mungu wokozi wao, aliyefanya mambo makuu katika Misri.

1
106/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Alifanya matendo ya ajabu katika nchi ya Hamu na matendo makuu penye Bahari ya Shamu. \v 23 Mungu angetangaza uharibifu wao, kama sio Musa, mteule wake, aliingilia kati kugeuza hasira yake dhidi ya kuwaangamiza. 24 Kisha waliidharau nchi yenye matunda; hawakuiamini ahadi yake, 25 bali walilalamiaka katika mahema yao, na hawakumtii Yahwe. 26 Kwa hiyo aliinua mkono wake na kuapa kwao kuwa atawaacha wafe jangwani, 27 akitawanya uzao wao kati ya mataifa, na kuwatawanya katika nchi za kigeni. 28 Waliabudu Baal ya Poeri na walizila dhabihu zilizotolewa kwa wafu. 29 Walimkasirisha kwa matendo yao, na pigo la gonjwa baya liliwashambulia kati yao. 30 Ndipo Finehasi aliinuka kuingilia kati, na pigo likakoma. 31 Ilihesabika kwake kama tendo la haki kwa vizazi vyote hata milele. 32 Pia walimkasirisha Yahwe penye maji ya Meriba, na Musa aliteseka kwa ajili yao.

View File

@ -103,6 +103,9 @@
"106-03", "106-03",
"106-06", "106-06",
"106-08", "106-08",
"106-10" "106-10",
"106-13",
"106-16",
"106-19"
] ]
} }