Fri Apr 28 2023 13:57:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 13:57:10 +03:00
parent 7a8d01ee39
commit 2f1c50de97
6 changed files with 10 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Wamebarikiwa wale watendao yaliyo mema na matendo yao yaliyo haki siku zote. \v 4 Ukumbuke, Ee Yahwe, unapowaonesha watu wako neema; unisaidie unapowaokoa. \v 5 Ndipo nitaona mafanikio ya wateule wako, wakifurahia katika furaha ya taifa lako, na utukufu pamoja na urithi wako. 6 Tumefanya dhambi kama babu zetu, tumekosea, na kufanya uovu. 7 Baba zetu hawakuyatambua matendo yako ya ajabu katika Misri; walipuuzia matendo yako mengi ya uaminifu wa agano; waliasi penye bahari, bahari ya Shamu. 8 Hata hivyo, yeye aliwaokoa kwa ajili ya jina lake ili kwamba aweze kuzifunua nguvu zake. 9 Aliikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka. Kisha akawaongoza vilindini, kana kwamba ni jangwani. 10 Aliwaokoa kutoka mkononi mwa wale waliowachukia, na aliwaokoa kutoka mkononi mwa adui. 11 Lakini maji yaliwafunika washindani wao; hakuna hata mmoja aliye okolewa. 12 Ndipo waliyaamini maneno yake, nao waliimba sifa zake.
\v 3 Wamebarikiwa wale watendao yaliyo mema na matendo yao yaliyo haki siku zote. \v 4 Ukumbuke, Ee Yahwe, unapowaonesha watu wako neema; unisaidie unapowaokoa. \v 5 Ndipo nitaona mafanikio ya wateule wako, wakifurahia katika furaha ya taifa lako, na utukufu pamoja na urithi wako.

1
106/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Tumefanya dhambi kama babu zetu, tumekosea, na kufanya uovu. \v 7 Baba zetu hawakuyatambua matendo yako ya ajabu katika Misri; walipuuzia matendo yako mengi ya uaminifu wa agano; waliasi penye bahari, bahari ya Shamu.

1
106/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Hata hivyo, yeye aliwaokoa kwa ajili ya jina lake ili kwamba aweze kuzifunua nguvu zake. \v 9 Aliikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka. Kisha akawaongoza vilindini, kana kwamba ni jangwani.

1
106/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Aliwaokoa kutoka mkononi mwa wale waliowachukia, na aliwaokoa kutoka mkononi mwa adui. \v 11 Lakini maji yaliwafunika washindani wao; hakuna hata mmoja aliye okolewa. \v 12 Ndipo waliyaamini maneno yake, nao waliimba sifa zake.

1
106/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
13 Lakini walisahau haraka kile alichofanya; hawakuyasubiri maelekezo yake. 14 Walikuwa na tamaa isiyotoshelezwa jangwani, wakamjaribu Mungu nyikani. 15 Aliwapa ombi lao, lakini alituma gonjwa ambalo lilishambulia miili yao. 16 Katika kambi wakawa na wivu juu Musa na Haruni, kuhani mtakatifu wa Yahwe. 17 Nchi ilifunguka na ilimmeza Dathani na iliwafunika wafuasi wa Abiramu. 18 Moto uliwaka kati yao; moto uliwaangamiza waovu. 19 Walitengeneza ndama huko Horebu na kuabudu sanamu ya kuyeyuka. 20 Wakaubadili utukufu wa Mungu kuwa mfano wa ng'ombe alaye majani. 21 Walimsahau Mungu wokozi wao, aliyefanya mambo makuu katika Misri. 22 Alifanya matendo ya ajabu katika nchi ya Hamu na matendo makuu penye Bahari ya Shamu. 23 Mungu angetangaza uharibifu wao, kama sio Musa, mteule wake, aliingilia kati kugeuza hasira yake dhidi ya kuwaangamiza. 24 Kisha waliidharau nchi yenye matunda; hawakuiamini ahadi yake, 25 bali walilalamiaka katika mahema yao, na hawakumtii Yahwe. 26 Kwa hiyo aliinua mkono wake na kuapa kwao kuwa atawaacha wafe jangwani, 27 akitawanya uzao wao kati ya mataifa, na kuwatawanya katika nchi za kigeni. 28 Waliabudu Baal ya Poeri na walizila dhabihu zilizotolewa kwa wafu. 29 Walimkasirisha kwa matendo yao, na pigo la gonjwa baya liliwashambulia kati yao. 30 Ndipo Finehasi aliinuka kuingilia kati, na pigo likakoma. 31 Ilihesabika kwake kama tendo la haki kwa vizazi vyote hata milele. 32 Pia walimkasirisha Yahwe penye maji ya Meriba, na Musa aliteseka kwa ajili yao.

View File

@ -99,6 +99,10 @@
"105-40",
"105-43",
"106-title",
"106-01"
"106-01",
"106-03",
"106-06",
"106-08",
"106-10"
]
}