Fri Apr 28 2023 13:55:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 13:55:10 +03:00
parent 047b671ef5
commit 7a8d01ee39
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 43 Aliwaongoza watu wake kwa furaha, wateule wake kwa kelele za ushindi. 44 Aliwapa nchi za mataifa; walichukua milki ya mali za watu 45 ili waweze kushika amri zake na kutii sheria zake. Msifuni Yahwe.
\v 43 Aliwaongoza watu wake kwa furaha, wateule wake kwa kelele za ushindi. \v 44 Aliwapa nchi za mataifa; walichukua milki ya mali za watu \v 45 ili waweze kushika amri zake na kutii sheria zake. Msifuni Yahwe.

1
106/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 106 \v 1 Msifuni Yahwe. Mshukuruni Yahwe, kwa kuwa ni mwema, kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele. \v 2 Ni nani awezaye kuyahesabu mataendo makuu ya yahwe au kutangaza katika ukamilifu sifa zote za matendo yake ya kuaminika.

1
106/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Wamebarikiwa wale watendao yaliyo mema na matendo yao yaliyo haki siku zote. \v 4 Ukumbuke, Ee Yahwe, unapowaonesha watu wako neema; unisaidie unapowaokoa. \v 5 Ndipo nitaona mafanikio ya wateule wako, wakifurahia katika furaha ya taifa lako, na utukufu pamoja na urithi wako. 6 Tumefanya dhambi kama babu zetu, tumekosea, na kufanya uovu. 7 Baba zetu hawakuyatambua matendo yako ya ajabu katika Misri; walipuuzia matendo yako mengi ya uaminifu wa agano; waliasi penye bahari, bahari ya Shamu. 8 Hata hivyo, yeye aliwaokoa kwa ajili ya jina lake ili kwamba aweze kuzifunua nguvu zake. 9 Aliikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka. Kisha akawaongoza vilindini, kana kwamba ni jangwani. 10 Aliwaokoa kutoka mkononi mwa wale waliowachukia, na aliwaokoa kutoka mkononi mwa adui. 11 Lakini maji yaliwafunika washindani wao; hakuna hata mmoja aliye okolewa. 12 Ndipo waliyaamini maneno yake, nao waliimba sifa zake.

1
106/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 106

View File

@ -96,6 +96,9 @@
"105-31",
"105-34",
"105-37",
"105-40"
"105-40",
"105-43",
"106-title",
"106-01"
]
}