Fri Apr 28 2023 17:59:39 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 17:59:40 +03:00
parent 8fa5f06fd0
commit 6fc8820c13
7 changed files with 12 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
3 Msifuni yeye, enyi jua na mwezi; msifuni yeye, nyota zote zing'aazo. 4 Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu zaidi na maji yaliyo juu ya anga. 5 Na vilisifu jina la Yahwe, maana aliamuru, navyo vikaumbwa. 6 Pia ameviimrisha milele na milele; naye alitoa amri ambayo haitabadilika. 7 Msifuni yeye kutoka nchi, ninyi viumbe wa baharini na viumbe vyote katika kina cha bahari, 8 Moto na mvua ya mawe, theluji na mawingu, upepo wa dhoruba ukitimiza neno lake. 9 Msifuni yeye, enyi milima na vilima, miti ya matunda na mierezi yote, 10 Wanyama pori na wanyama wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege. 11 Msifuni Yahwe, wafalme wa nchi na mataifa yote, wakuu na watawala wote wa nchi, 12 Wote vijana wa kiume na vijana wa kike, wazee na watoto. 13 Na walisifu jina la Yahwe, kwa kuwa jina lake pekee limetukuka na utukufu wake umeongezwa juu ya nchi na mbingu. 14 Naye ameyainua mapembe ya watu wake kwa ajili ya sifa kutoka kwa waaminifu wake wote, Waisraeli, watu wa karibu na moyo wake. Msifuni Yahwe.
\v 3 Msifuni yeye, enyi jua na mwezi; msifuni yeye, nyota zote zing'aazo. \v 4 Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu zaidi na maji yaliyo juu ya anga.

1
148/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Na vilisifu jina la Yahwe, maana aliamuru, navyo vikaumbwa. \v 6 Pia ameviimrisha milele na milele; naye alitoa amri ambayo haitabadilika.

1
148/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Msifuni yeye kutoka nchi, ninyi viumbe wa baharini na viumbe vyote katika kina cha bahari, \v 8 Moto na mvua ya mawe, theluji na mawingu, upepo wa dhoruba ukitimiza neno lake.

1
148/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Msifuni yeye, enyi milima na vilima, miti ya matunda na mierezi yote, \v 10 Wanyama pori na wanyama wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege.

1
148/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Msifuni Yahwe, wafalme wa nchi na mataifa yote, wakuu na watawala wote wa nchi, \v 12 Wote vijana wa kiume na vijana wa kike, wazee na watoto.

1
148/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Na walisifu jina la Yahwe, kwa kuwa jina lake pekee limetukuka na utukufu wake umeongezwa juu ya nchi na mbingu. \v 14 Naye ameyainua mapembe ya watu wake kwa ajili ya sifa kutoka kwa waaminifu wake wote, Waisraeli, watu wa karibu na moyo wake. Msifuni Yahwe.

View File

@ -360,6 +360,11 @@
"147-17",
"147-19",
"148-title",
"148-01"
"148-01",
"148-03",
"148-05",
"148-07",
"148-09",
"148-11"
]
}