Wed May 10 2023 03:45:24 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
00a9aa7f72
commit
6d6ba0cc5a
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Wewe unapenda uovu kuliko wema na udanganyifu kuliko kuongea haki. Sela
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Wewe hupenda maneno ambayo huwaumiza wengine, wewe ulimi mdanganyifu. \v 5 Vivyo hivyo Mungu atakuadhibu wewe milele; yeye atakuchukua na kukuondoa katika hema yako na kukung'oa katika ardhi ya uhai. Sela
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 Wenye haki pia wataona na kuogopa; watamcheka na kusema, \v 7 "Tazama, huyu ni mtu ambaye hakumfanya Mungu kuwa kimbilio lake la usalama, bali aliamini katika wingi wa mali zake, naye alikuwa na nguvu alipowaharibu wengine."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 Lakini kwangu mimi, niko kama mti bora wa mzeituni katika nyumba ya Mungu; Nami nitaamini uaminifu wa agano la Mungu milele na milele. \v 9 Nitakushukuru wewe daima kwa uliyo tenda. Nitalisubiri jina lako, kwa sababu ni zuri, uweponi mwa watu wako wa kimungu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 53
|
|
@ -271,6 +271,11 @@
|
|||
"51-14",
|
||||
"51-17",
|
||||
"52-title",
|
||||
"52-01"
|
||||
"52-01",
|
||||
"52-03",
|
||||
"52-04",
|
||||
"52-06",
|
||||
"52-08",
|
||||
"53-title"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue