Wed May 10 2023 16:13:53 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
cc083b023d
commit
3f91f3bf09
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 89 \v 1 Nitaimba sifa za matendo ya uaminifu wa agano milele; nitatangaza kweli yako kwa vizazi vijavyo. \v 2 Maana nimesema, "Uaminifu wa agano umeimarishwa milele; na kweli yako umeiimarisha mbinguni."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 "Nimefanya agano na wateule wangu, nimeapa kiapo kwa Daudi mtumishi wangu. \v 4 Nitauimarisha uzao wako milele, na nitauimarisha utawala wako vizazi vyote." Sela
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Mbingu husifu maajabu yako, Yahwe; kweli yako inasifiwa katika kusanyiko la watakatifu. \v 6 Maana ni nani katika mbingu aweza kulinganishwa na Yahwe? Ni nani kati ya wana wa miungu ni kama Yahwe?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Ni Mungu anaye heshimiwa sana katika baraza la watakatifu naye ni wakutisha kati ya wote wanao mzunguka. \v 8 Yahwe, Mungu wa majeshi, ni nani aliye na nguvu kama wewe, Yahwe? Kweli yako inakuzunguka.
|
|
@ -594,6 +594,10 @@
|
|||
"88-15",
|
||||
"88-17",
|
||||
"89-title",
|
||||
"89-01",
|
||||
"89-03",
|
||||
"89-05",
|
||||
"89-07",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue