From 3f91f3bf09b488f9268297ac9e7e87baa025860a Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embracekenya Date: Wed, 10 May 2023 16:13:54 +0300 Subject: [PATCH] Wed May 10 2023 16:13:53 GMT+0300 (East Africa Time) --- 89/01.txt | 1 + 89/03.txt | 1 + 89/05.txt | 1 + 89/07.txt | 1 + manifest.json | 4 ++++ 5 files changed, 8 insertions(+) create mode 100644 89/01.txt create mode 100644 89/03.txt create mode 100644 89/05.txt create mode 100644 89/07.txt diff --git a/89/01.txt b/89/01.txt new file mode 100644 index 0000000..555214a --- /dev/null +++ b/89/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 89 \v 1 Nitaimba sifa za matendo ya uaminifu wa agano milele; nitatangaza kweli yako kwa vizazi vijavyo. \v 2 Maana nimesema, "Uaminifu wa agano umeimarishwa milele; na kweli yako umeiimarisha mbinguni." \ No newline at end of file diff --git a/89/03.txt b/89/03.txt new file mode 100644 index 0000000..fd62391 --- /dev/null +++ b/89/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 "Nimefanya agano na wateule wangu, nimeapa kiapo kwa Daudi mtumishi wangu. \v 4 Nitauimarisha uzao wako milele, na nitauimarisha utawala wako vizazi vyote." Sela \ No newline at end of file diff --git a/89/05.txt b/89/05.txt new file mode 100644 index 0000000..1559fe8 --- /dev/null +++ b/89/05.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 5 Mbingu husifu maajabu yako, Yahwe; kweli yako inasifiwa katika kusanyiko la watakatifu. \v 6 Maana ni nani katika mbingu aweza kulinganishwa na Yahwe? Ni nani kati ya wana wa miungu ni kama Yahwe? \ No newline at end of file diff --git a/89/07.txt b/89/07.txt new file mode 100644 index 0000000..66739f9 --- /dev/null +++ b/89/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 Ni Mungu anaye heshimiwa sana katika baraza la watakatifu naye ni wakutisha kati ya wote wanao mzunguka. \v 8 Yahwe, Mungu wa majeshi, ni nani aliye na nguvu kama wewe, Yahwe? Kweli yako inakuzunguka. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 4e9ff80..82aefee 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -594,6 +594,10 @@ "88-15", "88-17", "89-title", + "89-01", + "89-03", + "89-05", + "89-07", "101-title", "101-01", "101-02",