Mon Apr 24 2023 05:40:05 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-04-24 05:40:05 +03:00
parent b33b8306d6
commit 3c1f41b969
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
18/43.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 43 Wewe uliniokoa mimi kutoka katika migogoro ya watu. wewe umenifanya kichwa juu ya mataifa. Watu ambao sikuwahi kuwafahamu hunitumikia. \v 44 Pindi tu waliposikia kunihusu, walinitii; wageni walilazimishwa kunyenyekea mbele zangu. \v 45 Wageni walitoka kwenye ngome yao wakitetemeka.

1
18/46.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 46 Yahwe anaishi; mwamba wangu usifiwe. Ainuliwe Mungu wa wokovu wangu. \v 47 Yeye ni Mungu ambaye hutelekeza visasi kwa ajili yangu, ambaye huwatiisha mataifa chini yangu.

1
18/48.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 48 Nimewekwa huru kutoka kwa adui zangu! wewe uliniinua juu ya wale walioinuka kinyume na mimi! Wewe uliniokoa kutoka kwa watu wenye vurugu. \v 49 Kwa hiyo nitakushukuru wewe, Yahweh, kati ya mataifa; Nitaimbia sifa jina lako!

View File

@ -164,6 +164,8 @@
"18-33",
"18-35",
"18-37",
"18-40"
"18-40",
"18-43",
"18-46"
]
}