From 3c1f41b9699da8bd2c093d35daeb5783d18be38e Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embracekenya Date: Mon, 24 Apr 2023 05:40:05 +0300 Subject: [PATCH] Mon Apr 24 2023 05:40:05 GMT+0300 (East Africa Time) --- 18/43.txt | 1 + 18/46.txt | 1 + 18/48.txt | 1 + manifest.json | 4 +++- 4 files changed, 6 insertions(+), 1 deletion(-) create mode 100644 18/43.txt create mode 100644 18/46.txt create mode 100644 18/48.txt diff --git a/18/43.txt b/18/43.txt new file mode 100644 index 0000000..2d37770 --- /dev/null +++ b/18/43.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 43 Wewe uliniokoa mimi kutoka katika migogoro ya watu. wewe umenifanya kichwa juu ya mataifa. Watu ambao sikuwahi kuwafahamu hunitumikia. \v 44 Pindi tu waliposikia kunihusu, walinitii; wageni walilazimishwa kunyenyekea mbele zangu. \v 45 Wageni walitoka kwenye ngome yao wakitetemeka. \ No newline at end of file diff --git a/18/46.txt b/18/46.txt new file mode 100644 index 0000000..2f38a21 --- /dev/null +++ b/18/46.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 46 Yahwe anaishi; mwamba wangu usifiwe. Ainuliwe Mungu wa wokovu wangu. \v 47 Yeye ni Mungu ambaye hutelekeza visasi kwa ajili yangu, ambaye huwatiisha mataifa chini yangu. \ No newline at end of file diff --git a/18/48.txt b/18/48.txt new file mode 100644 index 0000000..cf54950 --- /dev/null +++ b/18/48.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 48 Nimewekwa huru kutoka kwa adui zangu! wewe uliniinua juu ya wale walioinuka kinyume na mimi! Wewe uliniokoa kutoka kwa watu wenye vurugu. \v 49 Kwa hiyo nitakushukuru wewe, Yahweh, kati ya mataifa; Nitaimbia sifa jina lako! \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index bb899ac..6290c0a 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -164,6 +164,8 @@ "18-33", "18-35", "18-37", - "18-40" + "18-40", + "18-43", + "18-46" ] } \ No newline at end of file