Wed May 10 2023 17:17:59 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
2428b77851
commit
3679dcb82e
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 3 Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao katika nyumba yako; wanao watakuwa kama miche ya mimea ya mizeituni wakaapo kuzunguka meza yako.\v 4 Ndiyo, hakika mtu anaye mheshimu Yahwe atabarikiwa. 5 Mungu na akubariki toka Sayuni; na uweze kuona mafanikio ya Yerusalemu siku zote za maisha yako. 6 Uishi uwaone wana wa wanao. Amani iwe na Israeli.
|
||||
\v 3 Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao katika nyumba yako; wanao watakuwa kama miche ya mimea ya mizeituni wakaapo kuzunguka meza yako. \v 4 Ndiyo, hakika mtu anaye mheshimu Yahwe atabarikiwa. \v 5 Mungu na akubariki toka Sayuni; na uweze kuona mafanikio ya Yerusalemu siku zote za maisha yako. \v 6 Uishi uwaone wana wa wanao. Amani iwe na Israeli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 129 \v 1 "Mara nyingi tangu ujana wangu wamekuwa wakinishambulia," Israeli na iseme. \v 2 "Mara nyingi tangu ujana wangu wamekuwa wakinishambulia, lakini hawajanishinda. \v 3 Wakulima wamekuwa wakilima mgongoni kwangu; wametengeneza matuta yao marefu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
4 Yahwe ni mwenye haki; amezikata kamba za waovu." 5 Wote waaibishwe na kurudishwa nyuma, wale wachukiao Sayuni.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 129
|
|
@ -903,6 +903,9 @@
|
|||
"127-03",
|
||||
"128-title",
|
||||
"128-01",
|
||||
"128-03",
|
||||
"129-title",
|
||||
"129-01",
|
||||
"141-title",
|
||||
"141-01",
|
||||
"141-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue