Wed May 10 2023 17:15:59 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
911d9af6a3
commit
2428b77851
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 127 \v 1 Yahwe asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure; Yahwe asipoulinda mji, aulindaye afanya kazi bure. 2 Ni kazi bure kwa wewe unayeamka mapema, na kulala kwa kuchelewa, au kula mkate kwa kuufanyia kazi ngumu, maana Yahwe huwapa chakula awapendao hata wakiwepo usingizini.
|
||||
\c 127 \v 1 Yahwe asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure; Yahwe asipoulinda mji, aulindaye afanya kazi bure. \v 2 Ni kazi bure kwa wewe unayeamka mapema, na kulala kwa kuchelewa, au kula mkate kwa kuufanyia kazi ngumu, maana Yahwe huwapa chakula awapendao hata wakiwepo usingizini.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Tazama, wana ni urithi kutoka kwa Yahwe, uzao wa tumbo ni thawabu kutoka kwake. \v 4 Kama mishale mkononi mwa shujaa, ndivyo walivyo wana wa ujanani. \v 5 Ni namna gani alivyo barikiwa mtu ambaye amelijaza podo lake; hivyo hataaibishwa, pindi atakapo kabiliana na adui zake katika lango.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 128 \v 1 Amebarikiwa kila mtu amchaye Yahwe atembeaye katika njia zake. \v 2 Kazi ya mikono yako, wewe utaifurahia; utabarikiwa na kufanikiwa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao katika nyumba yako; wanao watakuwa kama miche ya mimea ya mizeituni wakaapo kuzunguka meza yako.\v 4 Ndiyo, hakika mtu anaye mheshimu Yahwe atabarikiwa. 5 Mungu na akubariki toka Sayuni; na uweze kuona mafanikio ya Yerusalemu siku zote za maisha yako. 6 Uishi uwaone wana wa wanao. Amani iwe na Israeli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 128
|
|
@ -899,6 +899,10 @@
|
|||
"126-02",
|
||||
"126-04",
|
||||
"127-title",
|
||||
"127-01",
|
||||
"127-03",
|
||||
"128-title",
|
||||
"128-01",
|
||||
"141-title",
|
||||
"141-01",
|
||||
"141-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue