diff --git a/127/01.txt b/127/01.txt index f891f22..9255044 100644 --- a/127/01.txt +++ b/127/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 127 \v 1 Yahwe asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure; Yahwe asipoulinda mji, aulindaye afanya kazi bure. 2 Ni kazi bure kwa wewe unayeamka mapema, na kulala kwa kuchelewa, au kula mkate kwa kuufanyia kazi ngumu, maana Yahwe huwapa chakula awapendao hata wakiwepo usingizini. \ No newline at end of file +\c 127 \v 1 Yahwe asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure; Yahwe asipoulinda mji, aulindaye afanya kazi bure. \v 2 Ni kazi bure kwa wewe unayeamka mapema, na kulala kwa kuchelewa, au kula mkate kwa kuufanyia kazi ngumu, maana Yahwe huwapa chakula awapendao hata wakiwepo usingizini. \ No newline at end of file diff --git a/127/03.txt b/127/03.txt new file mode 100644 index 0000000..d4d734b --- /dev/null +++ b/127/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Tazama, wana ni urithi kutoka kwa Yahwe, uzao wa tumbo ni thawabu kutoka kwake. \v 4 Kama mishale mkononi mwa shujaa, ndivyo walivyo wana wa ujanani. \v 5 Ni namna gani alivyo barikiwa mtu ambaye amelijaza podo lake; hivyo hataaibishwa, pindi atakapo kabiliana na adui zake katika lango. \ No newline at end of file diff --git a/128/01.txt b/128/01.txt new file mode 100644 index 0000000..56a17c0 --- /dev/null +++ b/128/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 128 \v 1 Amebarikiwa kila mtu amchaye Yahwe atembeaye katika njia zake. \v 2 Kazi ya mikono yako, wewe utaifurahia; utabarikiwa na kufanikiwa. \ No newline at end of file diff --git a/128/03.txt b/128/03.txt new file mode 100644 index 0000000..591bd15 --- /dev/null +++ b/128/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao katika nyumba yako; wanao watakuwa kama miche ya mimea ya mizeituni wakaapo kuzunguka meza yako.\v 4 Ndiyo, hakika mtu anaye mheshimu Yahwe atabarikiwa. 5 Mungu na akubariki toka Sayuni; na uweze kuona mafanikio ya Yerusalemu siku zote za maisha yako. 6 Uishi uwaone wana wa wanao. Amani iwe na Israeli. \ No newline at end of file diff --git a/128/title.txt b/128/title.txt new file mode 100644 index 0000000..c3d48c5 --- /dev/null +++ b/128/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 128 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index ce0b607..2178ad8 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -899,6 +899,10 @@ "126-02", "126-04", "127-title", + "127-01", + "127-03", + "128-title", + "128-01", "141-title", "141-01", "141-03",