Sun Apr 23 2023 18:47:20 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-04-23 18:47:20 +03:00
parent 8017e803d6
commit 2f22cc500f
3 changed files with 5 additions and 1 deletions

1
05/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Hakika wewe ni Mungu usiye kubaliana na uovu; watu waovu hawawezi kuwa wageni wako. \v 5 Wenye kiburi hawata simama katika uwepo wako; wewe unawachukia wote wanaofanya maovu. \v 6 Nawe utawaharibu waongo; Yahwe huwadharau wenye vurugu na watu wadanganyifu.

1
05/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Lakini kwangu mimi, kwa sababu ya ukuu na uaminifu wa agano lako, nitakuja nyumbani mwako; na kwa heshima nitakuinamia mbele ya hekalu lako takatifu. \v 8 Oh Bwana, uniongoze katika haki yako kwa sababu ya adui zangu; usawazishe njia yako mbele yangu.

View File

@ -60,6 +60,8 @@
"04-04",
"04-06",
"05-title",
"05-01"
"05-01",
"05-04",
"05-07"
]
}