diff --git a/05/04.txt b/05/04.txt new file mode 100644 index 0000000..b75789a --- /dev/null +++ b/05/04.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 4 Hakika wewe ni Mungu usiye kubaliana na uovu; watu waovu hawawezi kuwa wageni wako. \v 5 Wenye kiburi hawata simama katika uwepo wako; wewe unawachukia wote wanaofanya maovu. \v 6 Nawe utawaharibu waongo; Yahwe huwadharau wenye vurugu na watu wadanganyifu. \ No newline at end of file diff --git a/05/07.txt b/05/07.txt new file mode 100644 index 0000000..c789346 --- /dev/null +++ b/05/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 Lakini kwangu mimi, kwa sababu ya ukuu na uaminifu wa agano lako, nitakuja nyumbani mwako; na kwa heshima nitakuinamia mbele ya hekalu lako takatifu. \v 8 Oh Bwana, uniongoze katika haki yako kwa sababu ya adui zangu; usawazishe njia yako mbele yangu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 8e708a8..d4399e3 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -60,6 +60,8 @@ "04-04", "04-06", "05-title", - "05-01" + "05-01", + "05-04", + "05-07" ] } \ No newline at end of file