Wed May 10 2023 05:38:05 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
3e55c0e27a
commit
28ab2a0980
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 115 \v 1 Sio kwetu, Yahwe, sio kwetu, bali kwa jina lako ulete heshima, kwa ajili ya uaminifu wa agano lako na uaminifu wako. \v 2 Kwa nini mataifa yalazimike kusema, "Yuko wapi Mungu wako?"
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Mungu wetu aliye mbinguni; hufanya chochote apendacho. \v 4 Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, kazi ya mikono ya wanadamu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Sanamu hizo zina vinywa, lakini haziongei; zina macho, lakini hazioni; \v 6 zina masikio, lakini hazisikii; zina pua lakini hazinusi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Sanamu hizo zina mikono, lakini hazishiki; zina miguu, lakini haziwezi kutembea; wala haziongei kutoka viywani mwao. \v 8 Wale wanao zitengeneza wanafanana nazo, vile vile yeyote anaye amini katika hizo.
|
|
@ -479,6 +479,11 @@
|
|||
"114-01",
|
||||
"114-03",
|
||||
"114-05",
|
||||
"114-08"
|
||||
"114-08",
|
||||
"115-title",
|
||||
"115-01",
|
||||
"115-03",
|
||||
"115-05",
|
||||
"115-07"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue