Wed May 10 2023 05:36:05 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
77b6e909ef
commit
3e55c0e27a
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 114 \v 1 Israeli ilipotoka Misri, na nyumba ya Yakobo toka kutoka katika wale watu wa kigeni, \v 2 Yuda ilifanyika kuwa mahali pake patakatifu, Ufalme wa Israeli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Bahari iliona ikakimbia; Yordani ilirudi nyuma. \v 4 Milima iliruka kama kondoo waume, vilima viliruka kama wana-kondoo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Ewe Bahari kwa nini ulikimbia? Yordani kwa nini ulirudi nyuma? \v 6 Milima, kwa nini uliruka kama kondoo waume? Enyi vilima wadogo, kwa nini mliruka kama wana-kondoo? \v 7 Tetemeka, ee nchi, mbele za Bwana, uweponi mwa Mungu wa Yakobo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 Aligeuza mwamba kuwa ziwa la maji, jiwe gumu kuwa chemchem.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 115
|
|
@ -474,6 +474,11 @@
|
|||
"113-03",
|
||||
"113-05",
|
||||
"113-07",
|
||||
"113-09"
|
||||
"113-09",
|
||||
"114-title",
|
||||
"114-01",
|
||||
"114-03",
|
||||
"114-05",
|
||||
"114-08"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue