Wed May 10 2023 04:01:27 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
e44ed5d6f3
commit
286566d578
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 Wao walisambaza nje wavu kwa ajili ya miguu yangu; nilikuwa na shida sana. Walichimba shimo mbele yangu. Wao wenyewe wameangukia katikati ya shimo! Sela
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Moyo wangu umeponywa, Mungu, moyo wangu umeponywa, nitaimba, ndiyo, nitaimba sifa. \v 8 Inuka, moyo wa thamani; inuka, kinanda na kinubi; nitaamka alfajiri.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Nitakushukuru wewe, Bwana, kati ya watu; Kati ya mataifa nitakuimbia sifa. \v 10 Maana upendo wako usiokwisha, huzifikia mbingu; na uaminifu wako mawinguni. \v 11 Uinuliwe, Mungu, juu ya mbingu; na utukufu wako uinuliwe juu ya nchi yote.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 58 1 Je, ninyi watawala mnaongea haki? Mnahukumu kwa haki, ninyi watu? 2 Hapana, mnafanya uovu mioyoni mwenu; munaeneza vurugu nchi yote kwa mikono yenu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 58
|
|
@ -306,6 +306,10 @@
|
|||
"57-title",
|
||||
"57-01",
|
||||
"57-02",
|
||||
"57-04"
|
||||
"57-04",
|
||||
"57-06",
|
||||
"57-07",
|
||||
"57-09",
|
||||
"58-title"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue