diff --git a/57/06.txt b/57/06.txt new file mode 100644 index 0000000..67922c9 --- /dev/null +++ b/57/06.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 6 Wao walisambaza nje wavu kwa ajili ya miguu yangu; nilikuwa na shida sana. Walichimba shimo mbele yangu. Wao wenyewe wameangukia katikati ya shimo! Sela \ No newline at end of file diff --git a/57/07.txt b/57/07.txt new file mode 100644 index 0000000..28eb5a2 --- /dev/null +++ b/57/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 Moyo wangu umeponywa, Mungu, moyo wangu umeponywa, nitaimba, ndiyo, nitaimba sifa. \v 8 Inuka, moyo wa thamani; inuka, kinanda na kinubi; nitaamka alfajiri. \ No newline at end of file diff --git a/57/09.txt b/57/09.txt new file mode 100644 index 0000000..1163d4d --- /dev/null +++ b/57/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 Nitakushukuru wewe, Bwana, kati ya watu; Kati ya mataifa nitakuimbia sifa. \v 10 Maana upendo wako usiokwisha, huzifikia mbingu; na uaminifu wako mawinguni. \v 11 Uinuliwe, Mungu, juu ya mbingu; na utukufu wako uinuliwe juu ya nchi yote. \ No newline at end of file diff --git a/58/01.txt b/58/01.txt new file mode 100644 index 0000000..227ae14 --- /dev/null +++ b/58/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 58 1 Je, ninyi watawala mnaongea haki? Mnahukumu kwa haki, ninyi watu? 2 Hapana, mnafanya uovu mioyoni mwenu; munaeneza vurugu nchi yote kwa mikono yenu. \ No newline at end of file diff --git a/58/title.txt b/58/title.txt new file mode 100644 index 0000000..4fecfed --- /dev/null +++ b/58/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 58 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index c73c528..34fa8af 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -306,6 +306,10 @@ "57-title", "57-01", "57-02", - "57-04" + "57-04", + "57-06", + "57-07", + "57-09", + "58-title" ] } \ No newline at end of file