Wed May 10 2023 09:14:11 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 09:14:12 +03:00
parent fe8f85efee
commit 277c68573b
6 changed files with 11 additions and 1 deletions

1
143/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Uniokoe dhidi ya adui zangu, Yahwe; nakimbilia kwako ili nijifiche. \v 10 Unifundishe kufanya mapenzi yako, maana wewe ni Mungu wangu. Roho wako mwema na aniongoze mimi katika nchi ya unyoofu.

1
143/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Ee Yahwe, kwa ajili ya jina lako, unihifadhi hai; katika haki yako uitoe nafsi yangu taabuni. \v 12 Katika uaminifu wa agano lako uwaondoshe maadui zangu na uwaangamize maadui wa uhai wangu, maana mimi ni mtumishi wako.

1
144/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 144 \v 1 Atukuzwe Yahwe, mwamba wangu, anifundishaye mikono yangu vita na vidole vyangu kupigana. \v 2 Wewe ni uaminifu wa agano langu na ngome yangu, mnara wangu mrefu na uniokoaye, ngao yangu na yule ambaye katika yeye napata kimbilio, uyatiishaye mataifa chini yangu.

1
144/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Ee Yahwe, mtu ni kitu gani hata umtazame au mwana wa mtu hata umfikirie? \v 4 Mtu ni kama pumzi, siku zake ni kama uvuli upitao.

1
144/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 144

View File

@ -531,6 +531,11 @@
"143-01",
"143-03",
"143-05",
"143-07"
"143-07",
"143-09",
"143-11",
"144-title",
"144-01",
"144-03"
]
}