diff --git a/143/09.txt b/143/09.txt new file mode 100644 index 0000000..b85464d --- /dev/null +++ b/143/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 Uniokoe dhidi ya adui zangu, Yahwe; nakimbilia kwako ili nijifiche. \v 10 Unifundishe kufanya mapenzi yako, maana wewe ni Mungu wangu. Roho wako mwema na aniongoze mimi katika nchi ya unyoofu. \ No newline at end of file diff --git a/143/11.txt b/143/11.txt new file mode 100644 index 0000000..e1f6024 --- /dev/null +++ b/143/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 Ee Yahwe, kwa ajili ya jina lako, unihifadhi hai; katika haki yako uitoe nafsi yangu taabuni. \v 12 Katika uaminifu wa agano lako uwaondoshe maadui zangu na uwaangamize maadui wa uhai wangu, maana mimi ni mtumishi wako. \ No newline at end of file diff --git a/144/01.txt b/144/01.txt new file mode 100644 index 0000000..9df122c --- /dev/null +++ b/144/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 144 \v 1 Atukuzwe Yahwe, mwamba wangu, anifundishaye mikono yangu vita na vidole vyangu kupigana. \v 2 Wewe ni uaminifu wa agano langu na ngome yangu, mnara wangu mrefu na uniokoaye, ngao yangu na yule ambaye katika yeye napata kimbilio, uyatiishaye mataifa chini yangu. \ No newline at end of file diff --git a/144/03.txt b/144/03.txt new file mode 100644 index 0000000..bae021c --- /dev/null +++ b/144/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Ee Yahwe, mtu ni kitu gani hata umtazame au mwana wa mtu hata umfikirie? \v 4 Mtu ni kama pumzi, siku zake ni kama uvuli upitao. \ No newline at end of file diff --git a/144/title.txt b/144/title.txt new file mode 100644 index 0000000..90a4bfb --- /dev/null +++ b/144/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 144 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index feaccfd..0f45301 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -531,6 +531,11 @@ "143-01", "143-03", "143-05", - "143-07" + "143-07", + "143-09", + "143-11", + "144-title", + "144-01", + "144-03" ] } \ No newline at end of file