Wed May 10 2023 10:27:50 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
3c66586cab
commit
2723f47534
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 67 1 Mungu atuhurumie sisi na utubariki na kufanya nuru ya uso wake ituangazie, Selah 2 ili kwamba njia zako zijulikane nchi yote, wokovu wako kati ya mataifa yote.
|
||||
\c 67 \v 1 Mungu atuhurumie sisi na utubariki na kufanya nuru ya uso wake ituangazie, Selah \v 2 ili kwamba njia zako zijulikane nchi yote, wokovu wako kati ya mataifa yote.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Watu wakusifu wewe, Mungu; watu wote wakusifu wewe. \v 4 Oh, mataifa wafurahi na kuimba kwa furaha, maana utawahukumu watu kwa haki na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Watu wakushukuru wewe, Mungu; watu wote wakusifu wewe. \v 6 Nchi imetoa mavuno yake na Mungu, Mungu wetu, ametubariki.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 Mungu ametubariki sisi, na miisho yote ya dunia itamuheshimu yeye.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 68 \v 1 Mungu ainuke, maadui zake watawanyike; pia wale wamchukiao wakimbie mbele zake.\v 2 Kama moshi uondoshwavyo, hivyo uwaondoshe wao; kama nta iyeyukavo mbele ya moto, hivyo waovu waangamizwe uweponi mwa Mungu.\v 3 Bali wenye haki wafurahi; washangilie mbele za Mungu; washangilie na kufurahi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 68
|
|
@ -375,6 +375,11 @@
|
|||
"66-16",
|
||||
"66-19",
|
||||
"67-title",
|
||||
"67-01",
|
||||
"67-03",
|
||||
"67-05",
|
||||
"67-07",
|
||||
"68-title",
|
||||
"101-title",
|
||||
"101-01",
|
||||
"101-02",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue